......

......
 

watotoforum watotoforum Author
Title: Dar Modern Taarab: Eid Mosi Buguruni, Eid Pili Pugu
Author: watotoforum
Rating 5 of 5 Des:
Katika kusherehekea sikukuu ya Idd On Point Solutions Ltd imewaandalia wakazi wa buguruni na pugu burudani ya nguvu toka kwa "wana ...

Katika kusherehekea sikukuu ya Idd On Point Solutions Ltd imewaandalia wakazi wa buguruni na pugu burudani ya nguvu toka kwa "wana wa jiji" Dar Modern Taarab akiongea na mtandao huu mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Bahati Singh amesema maandalizi ya maonyesho hayo yamekamilika kwa kiasi kikubwa.

Pia ametoa ratiba ua maonyesho hayo kwa kusema Eid Mosi watakuwa Buguruni katika ukumbi wa Lekam Pub na Eid pili watakuwa Pugu kwenye ukumbi wa Eliado Poin View.Bwana Bahati amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuja kumodenika na Dar Modern.


About Nakshi255

Advertisement

Post a Comment

 
Top