MAJAZ MODERN TAARAB ZAIRANI KUJITAMBULISHA
Majaz Modern Taarab wanatarajia kufanya ziara fupi ya kuitambulisha bendi yao na nyimbo zao mpya akiongea na mtandao huu mkurugeniz wa Bendi hiyo Bw. Hamisi Majaliwa amesema ziara hiyo itaanza Alhamisi ya tarehe 23/7 Iwangwa.
Akaendelea kusema ijumaa 24/7 watakuwa Liwale, Jumamosi tarehe 25/7 Masasi na jumapili ya tarehe 26/7 watamalizia Nachingwea. Mkurugenzi wa Majaz amewataka mwanzi wa mashabiki wa taarab wakae tayari kujimwaga na wana Majaz.
Post a Comment