......

......
 

Nakshi255 Nakshi255 Author
Title: Mkurugenzi wa On Point Solutions Ltd Bw Bahati Singh
Author: Nakshi255
Rating 5 of 5 Des:
v       ameujuza mtandao huu kua kampeni za tamasha la COAST NITE na ujio wa THEM MUSHROOMS  BAND toka Kenya,  zinatalajiwa kua...


v  


 ameujuza mtandao huu kua kampeni za tamasha la COAST NITE na ujio wa THEM MUSHROOMS  BAND toka Kenya,
 zinatalajiwa kuanza baada  ya sikukuu ya Idd katika tamasha hilo bendi za The East African Melody na Dar Modern Taarab ni miongoni mwa bendi zitakazo toa burudani siku ya tamasha hilo linalotalajiwa   

kufanyika j’mosi ya tarehe1/8/2015 Escape 1 Mikocheni kwa viingilio vya tiketi za awali TZs 10,000/=, VIP 20,000/= na  mlangoni  TZs 15,000/=, na VIP 25,000/= na kusema  onyesho litaanza saa 2 Usiku.
Bw Bahati amesema  hii si yakukosa uku akisisitiza “KOSA   UCHEKWE”

About Nakshi255

Advertisement

Post a Comment

 
Top