Mmoja wa waratibu wa Tamasha la Coast Nite Bw. Emmanuel Adamu wa kwanza kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa New Zanzibar Star
Zubeda Mlamali,Salma na
Mwanamkuu Zayumba, katika Tamasha hilo lililofanyika mwaka 2010 jijini Nairobi.
Tamasha hilo litafanyika kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam Escape 1 tarehe 1/8/2015 (KOSA UCHEKWE)
Tamasha hilo litafanyika kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam Escape 1 tarehe 1/8/2015 (KOSA UCHEKWE)
Post a Comment