Mashauzi Classic Modern Taarab baada ya kukomba tuzo za kili 2015
wanatarajia kuwaonyesha kazi iliyowafanya watwae tuzo hizo wakazi wa
Bagamoyo na vitingoji vyake siku ya idd Mosi katika ukumbi wa Mageti
Mia.
Madam Isha Mashauzi katika moja ya Pozi
Akiongea na mtandao huu meneja wa bendi hiyo Bwana Suma Ragar amesema Mashauzi hawajaribu ila wanafanya.
Post a Comment