Mkurugenzi
wa On Point Soulutions Ltd Bwana Bahati
Singh ameujuza mtandao huu kua maandalizi ya tamash la Coast nite yanaendelea
vizuri na muda si mrefu kampeni za tamasha hilo zitaanza, tamasha hilo
linatarajiwa kufanyika hapa nchini kwa
mara ya kwanza j’mosi tarehe 1/8/2015 katika ufukwe wa escape 1 Mikocheni
tamasha hilo ufanyika kila mwaka mjini Nairobi (Kenya) kwa kuzishilikisha bendi
za taarab toka Tanzania bendi zilizoshiliki kwenye tamasha hilo mjini Nairobi mpaka sasa ni Zanzibar
star, Melody, Tot taarab, Mashauzi Classic na Dar modern.
About Nakshi255
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment