• Ogopa Kopa kutikisa kimanzichana Idd mosi na Ikwilili Idd pili
akiongea na mtandao huu msanii mwandamizi wa bendi hiyo Hassani Ally ameujuza mtandao huu kwa njia ya simu ratiba ya bendi hiyo kwa kusema Idd mosi watakua kimanzi chana na Idd pili watakua Ikwilili.
Post a Comment