......

......
 

watotoforum watotoforum Author
Title: Coast Nite 2015 Dar es Salaam: The East African Melody na Dar Modern Taarab ndani.
Author: watotoforum
Rating 5 of 5 Des:
The East African Melody na Dar Modern Taarab ni miongoni mwa bendi za taarab zinazotarajiwa kutoa burudani katika tamasha ya Coast Nite amba...
The East African Melody na Dar Modern Taarab ni miongoni mwa bendi za taarab zinazotarajiwa kutoa burudani katika tamasha ya Coast Nite ambalo linatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwzi wa nane yaani jumamosi ya tarehe 1/8/2015 katika ufukwe wa escape 1.
Bi Afua aka B52 wa The East African Melody akiwapagawaisha mashabiki wa Coast Nite iliyofanyika Nairobi mwaka 2011

Umati wa watu waliohudhuria katika Coast Nite ambayo Dar Modern Taarab ilishiriki

Akiongea na  mtandao huu Mkurugenzi wa On Point Solution Ltd Bwana Bahati Singh, kampuni inayoandaa tamasha hilo amesema  wameamua kuzichukua bendi hizo kwa kuwa zimeshawahi kushiriki katika tamasha hilo ambalo lililofanyika mjini Nairobi.

About Nakshi255

Advertisement

Post a Comment

 
Top