Title: Mkurugenzi wa super shine modern taarab Bwana Mohamed Seif (Dr No)
Author: Nakshi255
Rating 5 of 5
Des:
· amewataka wapenzi wa bendi hiyo wa maeneo ya Chamanzi na Buguruni kujitokeza kuja kupata raha za (wana kata kiu) siku za sk...
·amewataka wapenzi wa bendi hiyo wa maeneo ya
Chamanzi na Buguruni kujitokeza kuja kupata raha za (wana kata kiu) siku za
skukuu na kusema Idd mosi watakua Chamanzimzambarauni(ngeme pub), na Idd pili Buguruni (rozana bar).
Post a Comment