Mkurugenzi wa Wakali Wao Taraadance, Thabit Abdul
Kingine kutoka Wakali Wao Taraadance
Wakali Wao Taraadance kuzindua albam yao ya pili Jumamosi ya taerehe 1/8/2015 jijini Dar Es Salaam akiongea na mtandao huu mkurugenzi wa bendi hiyo bwana Thabit Abdul amesema maanzalizi ya uzinduzi huo yanaendelea vizuri na muda si mrefu ukumbi na viingilio vitatangazwa.
Post a Comment