Wadau wamkubali Hammer Q
Msanii Hammer Q anatajwa ndiye msanii pekee wa kiume katika tasnia ya muziki ya muziki wa taarab anayeweza kupambana na msanii na Kiongozi wa bendi ya Jahazi Modern Mfalme Mzee Yusuphu.
Wakiongea kwa nyakati tofauti na mtandao huu,wadau hao wamesema "Hameer Q akiandaliwa vizuri anaweza kuja kumpa changamoto Mfalme mzee Yusuphu katika muziki wa taarab.
Aidha wadau hao wamesikitishwa na mwenendo wa tasnia ya muziki huo kuendelea kukosa wasanii wa kiume wakuweza kuleta ushindani.
Na kuwataka wasanii haswa wa kiume kukazana ilikuweza kufikia mafanikio aliyokua nayo msanii mwenzao.
Post a Comment