Wapenzi wa burudani
waliojitokeza kwenye tamasha la Coast Nite
jijini Nairobi wakifurahia kwa kunyoosha mikono juu wakati bendi ya New
Zanzibar Star ikitoa burudani mwaka 2010 wakati bendi hiyo Iliposhiriki katika
tamasha hilo la Coast Nite. Wa-Tanzania kaeni tayari kwani tamasha hilo linatarajiwa
kufanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini mwaka huu siku ya Jumamosi tarehe 1/8 Escape
One Mikocheni jijini Dar es Salaam...(KOSA UCHEKWE)
COAST NITE 2010 NAIROBI
Title: COAST NITE 2010 NAIROBI
Author: Nakshi255
Rating 5 of 5 Des:
Author: Nakshi255
Rating 5 of 5 Des:
Wapenzi wa burudani waliojitokeza kwenye tamasha la Coast Nite jijini Nairobi wakifurahia kwa kunyoosha mikono juu wakati bendi y...
Post a Comment